SHULE
YA SEKONDARI YA WASICHANA OSWE
S.L.P
665, MBOZI – SONGWE
ILIYOSAJILIWA KWA NAMBA S.4550
SIMU +255 744 751098/ +255 763 976 064
TOVUTI:
oswegirlssecschool.@gmail.com
NAMBA YA FOMU: ______________
FOMU
YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA SHULE HII
KIDATO
CHA KWANZA - 2024/2025
SEHEMU
A: (IJAZWE KWA HERUFI KUBWA)
KUMBUKUMBU ZA MUOMBAJI
1. Jina
kamili………………………………………………………………………..
2. Tarehe
ya kuzaliwa……………………. Mahali alipozaliwa………………….
3. Uraia…………………………………………………………….
4. Dini/Dhehebu………………………………………………………………………
5. Jina
kamili la Baba/Mlezi………………………………………………………
6. Jina kamili la Mama/Mlez………………………………………………………
7. Kazi ya Baba/Mlezi…………………………………………………………..
8. Kazi ya Mama/Mlezi…………………………………………………………..
9. Jina la shule ya msingi alikosoma ………………………………………….
Mkoa ……………………. Wilaya…………………………
10.Namba ya mtihani ya darasa la
saba……………………………………..
11.Njia uliyopata taarifa ya kujiunga na
shule………………………………………
12.Anuani
ya Baba/Mlezi……………………………………
13. Namba ya simu
ya Baba ………………………Mama………………na ndugu wa karibu(i)…………………………na
(ii)………………………….
SEHEMU
B:
MAAGIZO
NA MAMBO YA KUZINGATIA
1.
Mtihani
wa kujiunga na shule utafanyika tarehe 21/09/2024
siku ya JUMAMOSI saa mbili asubuhi
ya baada ya hapo Mitihani itakuwa ikifanyika kila siku ya Jumatatu mpaka
Jumamosi shule ya sekondari Oswe Wasichana na Wavulana.
2.
Mahali
pa kufanyia mtihani ni kama ifuatavyo;
NA |
MAHALI |
KITUO CHA MTIHANI |
1. |
IHANDA –MBOZI-SONGWE |
SHULE YA WASICHANA OSWE |
2. |
CHIMBUYA –MBOZI-SONGWE |
SHULE YA WAVULANA OSWE |
3. |
MBEYA |
CHUO CHA UALIMU MORAVIAN KADEGHE |
4. |
DAR ES SALAAM |
SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO |
5. |
LAELA –SUMBAWANGA |
SHULE YA MSINGI SUNSHINE |
6. |
SUMBAWANGA |
CHUO CHA UFUNDI FURAHA VTC CHANJI |
7. |
MPANDA |
SHULE YA MSINGI KASHATO |
8. |
DODOMA |
SHULE YA SEKONDARI MNADANI |
NA AWAMU
YA PILI MTIHANI UTAFANYIKA TAREHE 19/10/2024 SIKU YA JUMAMOSI KATIKA VITUO VYA;-
SHULE YA WASICHANA OSWE NA SHULE YA WAVULANA OSWE.
3.
Kila
mtahiniwa aje na fomu hii siku ya mtihani pamoja na fedha ya fomu Tsh. 20,000/= au aje na risiti aliyonunulia
fomu hii. Fomu hii iwe imejazwa kikamilifu.
4.
Mtihani
utaanza saa mbili (2:00) asubuhi hadi saa tano (5:00) asubuhi.
5.
Mtihani
utahusu masomo yafuatayo:
HISABATI, KIINGEREZA na SAYANSI.
KWA MAWASILIANO/MAULIZO:
Piga simu namba 0744 751 098 / 0763 976 064 /0763 000 481 au onana na Mkuu wa
shule ya wasichana OSWE.
Fomu zinapatikana sehemu zifuatazo:-
NA
|
MAHALI
|
FOMU
ZILIPO |
1. |
IHANDA /CHIMBUYA
–MBOZI |
SHULE YA WASICHANA
NA WAVULANA OSWE |
2. |
VWAWA –MBOZI |
-MKULIMA HOTEL |
3. |
TUNDUMA |
HOPE STATIONARY (Mkabala na msikiti njia ya Sumbawanga
) |
4. |
MLOWO |
MKULIMA HOTEL |
5. |
MBEYA |
-F.KIGIDA
STATIONARY - MWANJELWA |
-G.B STATIONARY -
MBALIZI |
||
-CHUO CHA
UALIMU-MORAVIAN KADEGHE |
||
6. |
LAELA - SUMBAWANGA |
-SHULE YA MSINGI
SUNSHINE |
7. |
MPANDA |
MWL.CHRISTINA
SAMWEL (KARIBU NA
IKULU:0767-096999) |
8. |
DA-ES-SALAAM |
MSIMBAZI CENTER
CHUMBA NO:19 & 42 |
9. |
VITUO VYA REDIO TANGAZO LINAPOSIKIKA |
BARAKA F.M (MBEYA)
NA TUNDUMA F.M( SONGWE) |
10. |
SUMBAWANGA |
CHUO CHA UFUNDI
FURAHA VTC CHANJI (0754 895864) |
11. |
DODOMA |
WASILIANA NA NAMBA
HII 0714 258 217 |
N.B: MASOMO
YA “PRE- FORM ONE” YATAANZA TAREHE 23/09/2024
MPAKA TAREHE 20/12/2024 KWA
GHARAMA YA TSH.200,
000/= TU.
KARIBU SANA SHULE ZA SEKONDARI OSWE
……………………
MKUU
WA SHULE