JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OSWE
BOYS SECONDARY SCHOOL P.O.
BOX 665 MBOZI
– SONGWE EMAIL:
Osweboyssec@gmail.com WEBSITE: www.osweschools.ac.tz INSTAGRAM:OSWE_SCHOOLS PICHA
ILIYOSAJILIWA KWA NAMBA S.4893
USAJILI WA MITIHANI NAMBA S.5416
NAMBA YA FOMU: ……………….
FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA SHULE
HII KWA KIDATO CHA
KWANZA 2025
SEHEMU A: (IJAZWE KWA HERUFI KUBWA)
KUMBUKUMBU
ZA MWOMBAJI
1.
Jina
kamili la mwombaji (MAJINA MATATU) …………………………………………………………………………….
2.
Tarehe
ya kuzaliwa: ……………………….. Mahali: ……………………..
3.
Uraia:
………………………………………………………………………..
4.
Dini/Dhehebu:
……………………………………………………………....
5.
Jina
kamili la Baba/Mlezi: …………………………………………………..
6.
Jina
kamili la Mama/Mlezi: …………………………………………………
7.
Kazi
ya Baba/Mlezi: ………………………………………………………..
8.
Kazi
ya Mama/Mlezi: ……………………………………………………….
9.
Jina
la shule ya msingi alikosoma: ………………………………………….
Anuani:
………………………………………………………………………
10.
Namba
aliyofanyia mtihani darasa la saba….………………………………
11.
Njia
uliyopata taarifa ya kujiunga na shule….………………………………
12.
Anuani ya Baba/Mlezi: …………………………………………………….
13.
Namba ya simu ya baba: ……………………Mama:………………………,
na
ndugu jamaa wa karibu:
(i) ……….…………….……..….
na (ii) ………………………………
SEHEMU B: MAAGIZO NA
MAMBO YA KUZINGATIA
1.
Mtihani
wa kujiunga na shule a wamu ya kwanza
utafanyika tarehe 21/09/2024 siku
ya Jumamosi.
2.
VITUO
VYA KUFANYIA MTIHANI WA USAHILI NI KAMA
VIFUATAVYO;
NA |
MAHALI |
KITUO CHA MTIHANI |
1 |
CHIMBUYA-MBOZI
-SONGWE |
SEKONDARI YA WAVULANA OSWE |
2 |
IHANDA-MBOZI-SONGWE |
SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA OSWE |
3 |
MBEYA |
CHUO CHA UALIMU MORAVIAN KADEGE |
4 |
SUMBAWANGA |
CHUO CHA UFUNDI FURAHA CENTRE
VTC-CHANJI(0754 89 5864) SHULE YA MSINGI SUNSHINE RAHELA |
5 |
DAR-ES-SALAAM |
SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO |
6 |
MPANDA |
SHULE YA MSINGI KASHATO |
7 |
MAKAMBAKO |
SHULE YA MSINGI BWAWANI(0764 136 436) |
8 |
DODOMA |
WASILIANA NA NAMBA 0714
258217 |
BAADA YA AWAMU YA KWANZA MTIHANI WA AWAMU YA
PILI UTAENDELEA KILA SIKU KUANZIA JUMA TATU MPAKA JUMAMOSI SHULENI OSWE BOYS
CHIMBUYA SONGWE.
3.
Kila
mtahiniwa aje na fomu hii siku ya mtihani pamoja na fedha ya fomu
Tsh.20,000/= au aje na risiti aliyonunulia
fomu hii. Fomu hii iwe imejazwa kikamilifu pamoja na kubandikwa picha ya
mtahiniwa.
4.
Mtihani
utaanza saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi.
5. Mtihani utahusu masomo yafuatayo:
KIINGEREZA,
HISABATI NA SAYANSI
KWA MAELEZO ZAIDI
Piga simu
namba 0752-398224 - 0742 -697782 -
0764 961755
Au onana
na Mkuu wa Shule ya Wavulana 8.
6. Masomo ya pre-form one yataanza
tarehe 23/09/2024 hadi 20/12/2024
FOMU HIZI ZINAPATIKANA SEHEMU
ZIFUATAZO:
NA |
MAHALI |
FOMU ZILIPO |
1 |
MBOZI-SONGWE |
SHULE
YA WAVULANA OSWE, WASICHANA OSWE NA S/M
OSWE |
2 |
VWAWA-NA MLOWO MBOZI |
- MKULIMA
HOTEL VWAWA NA MLOWO - TWO
IN ONE OSWE DRY CLEANER standi ya Vwawa
yanakotokea magari.) |
3 |
TUNDUMA |
HOPE STATIONERY (Mkabala na msikiti njia ya Sumbawanga). |
4 |
MBALIZI |
VANESSA STATIONARY(Stand ya
Tarafani yanakotokea magari) |
5 |
MBEYA |
-
F.
KIGIDA STATIONARY (Stendi ya zamani ya
TUKUYU Mwanjelwa) -
CHUO
CHA UALIMU-MORAVIANI KADEGE |
6 |
SUMBAWANGA |
CHUO CHA UFUNDI FURAHA CENTRE
VTC-CHANJI(0754 89 5864) SHULE YA MSINGI SUNSHINE |
7 |
MPANDA |
MWL.CHRISTINA
SAMWEL (Karibu na ikulu
mawasiliano:0767-096999) |
8 |
DAR-ES-SALAAM |
MSIMBAZI CENTER CHUMBA NO: 10,12 NA 19 |
10 |
MAKAMBAKO |
SHULE YA MSINGI
BWAWANI (Karibu na
stendi ya mabasi-0759 17 9572) |
11 |
DODOMA |
DUKANI KWA WIN MAJENGO
SOKONI OPPOSITE NA STAND YA MKONZE(0764 136 436 &0714 258217) |
12 |
VITUO VYA REDIO
TANGAZO BARAKA FM(MBEYA), VOS
FM(SUMBAWANGA) NA KINGS FM(MAKAMBAKO) |
KARIBU SANA KATIKA
SHULE ZA OSWE SEKONDARI.
SIMCHIMBA
MICHAEL.
MKUU WA
SHULE.